Header Ads

Biashara ni kama mtoto



Biashara ni kama Mtoto, kila mtu hutamani kumuona Mtoto wa mtu aliyefanikiwa ana kazi na maisha mazuri lakini hakuna anayetaka kupitia mchakato alioupitia mzazi wake kuanzia kwenye kununua nepi mpaka kumlipia ada!

Kuna watu wengi wanakata tamaa kwa kujaribu Biashara siku mbili wakiona hakuna wateja wanataka kubadilisha Biashara. Kuna wengine hujaribu siku mbili tatu kisha wanaanza kusema mimi si mtu wa Biashara na kuacha.

Shida nikuwa, vijana wengi wanajilinganisha na wazee katika Biashara. Umeanza Biashara leo, labda unakaa kutwa nzima huuzi, unakata tamaa kwakumuangalia jirani yako ambaye kila dakika anauza bila kujua alitumia muda kiasi gani mpaka kufikia hatua hiyo.

Kama unatamani kuanza Biashara na hujui ni wapi pakuanzia basi soma Kitabu changuc ha Biashara 50, nenda taratibu usipaniki pale mambo yanapochelewa.
Bei yake ni shilling elfu kumi tu. Unalipia kwa M-Pesa No. 0742-381-155 au Tigo Pesa No. 0657-552-222 

Hakikisha unapolipia jina linakuja Iddi Makengo kwanu kuna matapeli wengi na Kitabu unatumiwa kwa Whatsapp/Facebook/Email.

No comments:

Powered by Blogger.