Header Ads

Onyo; Kwa wanandoa tu,Sehemu za kumpagawisha Mume wako .


Kwa hakika Mume wako  huwa na maeneo ya kumsisimua na kuwapandisha kasi zaidi huku akipata raha ya ajabu.... leo nitayataja maeneo ambayo Mume wako akiguswa kimahaba huwa yanamsisimua sana na kumfanya ahisi kuchanganyikiwa kimahaba .

1. MASIKIO
hii ni seheme ambayo hubeba hisia nyingi sana
Kwa Mumeo
hapa Mke unatakiwa ufanye kama kukunong'oneza kimahaba kisha utumie ulimi wako kukugusa masikio ndani,nje na kwa nyuma pia hii inaweza kumfanya Mume awe na msisimko mkubwa.

2. SHINGONI
Sehemu hii ina hisia sana kwa Mume wako
kwa sababu mishipa mingi ya fahamu hukutania hapo
mguso wako wa pole pole kwa kutumia ulimi wako na pumzi ya kimahaba vinaweza mfanya Mume wako  achanganyikiwe zaidi juu yako
na kumfanya asahau mengine maana msisimko utampanda kwa haraka zaidi KAZI KWAKO kujua jinsi ya kumwekea na yeye "love bite" pia Mke unatakiwa uwe fundi wa kutumia ulimi wako na lips hapo kwenye shingo ya Mume wako.

3. NGOZI
Namaanisha kushikana/kupapasana kabla ya kufanya lolote ni jambo zuri sana kwani utaufanya miili yenu isisimke kwa pamoja na kumfanya Mume wako mzunguko wake wa damu kuongezeka na kuwa wenye kasi hii itamsaidia uume kuwa wenye nguvu na kusimama kwa muda(kumuongezea pumzi ya kutomwaga haraka na hata akimwaga iimpe nguvu ya uume kutokulala baada ya kumwaga) na pia itampandisha hisia zake sana TUMIA HATA ZAIDI YA DAKIKA ISHIRINI KUSHIKANA/KUPAPAANA NA MUME  WAKO KABLA YA TENDO LA NDOA .

Point ya 4 ninaifafanua kwanza maana imekuwa ikipotoshwa na kubabikiwa kuwa ni dhambi kula denda na Mume wako 👇👇👇👇👇

Wimbo ulio bora, wa Sulemani. Sura ya Kwanza (1:2-4)

Mazungumzo ya Bibi arusi na marafiki

2. Kubusu na anibusu kwa kinywa chake.

Maana pendo lako lapita divai;

3  Manukato yako yanukia vizuri;

Jina lako ni kama marhamu iliyomiminwa;

Kwa hiyo wanawali hukupenda.

4  Nivute nyuma yako, na tukimbie;

Mfalme ameniingiza vyumbani mwake.

Tutafurahi na kukushangilia;

Tutalinena pendo lako kuliko divai;

Ndiyo, ina haki wakupende.

4. BUSU LA DENDA
hii sio kitu cha kushangaza jinsi gani denda(deep kiss) linavyo sisimua na kuamsha hisia na kuongea hashki ya kufanya tendo la ndoa ila Mke inatakiwa ujue jinsi ya kumpagawisha Mume wako na Denda kwa kumyonya na kubite lips zake kimahaba tafadhali pia kwa kucheza na na ulimi wake kimahaba na sio kubadilishana mimate tuu mpe raha kuwa fundi kwenye denda asikumbuke kutoka nje kila mara akuwaze wewe tuu.

5 . . SEHEMU ZA JUU ZA UUME
hii ndio sehemu yenye kumchanganya zaidi Mume wako kimahaba na ndiko sehemu hisia zake za kimahaba zimekaa . hapa Mke haitaji ujuzi mwingi bali ni kujua ni wakati gani ni mguse eneo hilo na nimguse vipi

mfano; Mume simama kwenye ukuta utamgusa kwa kumpapasa juu ya alichokivaa kwa kupandisha mkono na kuushusha huku ukimguga uume wake fanya hivyo mara 8 mpaka 10 kabla ya kuingiza mkono ndani na kuitoa nje ili kuishika vizuri kimahaba na labda kuanza kuinyonya kiufundi na kimahaba zaidi . ( Sasa hapa napo wale wale wanasemaga ni dhambi , jamani jamani ni dhambi nje ya ndoa , ndani ya ndoa ni dhambi gani sasa , sema inategemea na nyinyi wenyewe sio lazima , ila sio siri kitendo hiki kina raha mno kwa Mume wako , na ndio maane Neno la MUNGU linasema,  " Ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi maana the na wazinzi MUNGU atawahukumia adhabu. ' 

Kwa nini ? Kwa sababu haya mambo yanahitaji malazi sqfi sio tu Uume wa Mume wako unakuwa unatembea kwa kila Mwanamke atakaye mwona , MUNGU amaweka adhabu nayo ni jehanamu anastahili Adhabu Mume huyo maana ni mchafu .

vivyo hivyo hata mkiwa kitandani usikurupuke kumshika Uume wake unatakiwa umlegeze na umchanganye kimahaba kwanza
na kwa kufanya ivyo itakusaidia kutunza uhusiano wako na Mune wako wa kimahaba ndani ya ndoa yenu.

6. . G SPORT
G Sport ni mstari wa kiufundi sana katika mapenzi ni sehemu ambazo  ukizikamata lazima Mume atulie na asisimke kwa hali ya juu , mstari huu si kwa Mume wako tu bali hata Mke pia husisimka, 
Leo naomba nikwambie huu mstari unatokea wapi. Ukigusa mgongoni ukakutana na pingiri za mgongo ukizifuata hizi mpaka chini ukashuka nazo mpaka mbele katika Uume utaona katika kende za Mume wako kuna mstari. Ule sasa ndo unaitwa G sport , Mke ukichukua kidole chako na kupapasa papasa huo mstari kwa kupanda na kushuka hapo unaweza kukakamata hisia za Mume wako na akashindwa kufanya lolote.

hizo ndizo sehemu ambazo Mume wako ukimkamata anaweza asifanye mchepuko tena.

Ila usimbanie sana Mume wako ujuzi wako na pia usipende kufanyia mapenzi gizani jiamini we ni piece mkali kwa Mume wako na maumbile yako aliyo kuumbia MUNGU 
jitoe kwa mwili wako kwa  Mume  wako

Asante kwa kuwa nami mwanzo mpaka mwisho na kufuatilia makala hii ya mapenzi ndani ya NDOA NA SIO NJE YA NDOA .

No comments:

Powered by Blogger.