Jinsi peasi linavyoweza kutibu tatizo la ukosefu wa choo
Wengi wetu tunalifahamu tunda hili la Peasi (Pears), na mara nyingi tunda hili hupatikana katika mkoa wa Tanga.
Pamoja na hayo tunda hili ni moja ya matunda yenye umuhimu katika kutibu tatizo la ukosefu wa choo.
Hivyo kwa wale watu wenye tatizo sugu la ukosefu wa choo, wanashauriwa kutumia tunda hili kwa wingi kila siku au kunywa juisi yake kwa siku kadhaa ili kuondokana na tatizo hilo.
Katika hali ya kawaida, Peasi moja la ukubwa wa kawaida likiliwa baada ya chakula cha usiku au baada ya kupata kifungua kinywa asubuhi huweza kuleta matokeo mazuri zaidi.

No comments: