Uvumilivu una ukomo utavumilia mpaka lin
Kama uko kwenye mahusiano, iwe ni ndoa au mapenzi ya kawaida na katika akili yako unajiona kabisa kuna vitu unavumilia. Lakini inawezekana pia umeshaenda kuomba ushauri kwa mtu akakuambia vumilia basi jua kua hata kama wewe hutachoka lakini huyo unayemvumilia ipo siku atakuchoka kwa kuvumilia kwako.
Hii inatokana na ukweli kuwa kama unavumilia inamamilia shida, hakuna mtu anayevumilia raha, hivyo utakua una huzuni na lazima huyo unayemvumilia ataiona huzuni yako na moja kwa moja kuna wakati atakuchoka na kwenda kutafuta furaha kwingine. Maisha ni mafupi, huna haja ya kuvumilia na kusubiri abadilike yeye ndiyo uwe na furaha.
Acha kusubiri mpaka hali ikawa mbaya na ushauri pekee ambao utapewa ukawa “Ondoka huyo mtu atakuua!” jifunze namna ya kujitengenezea furaha yako. Soma Kitabu cha “Ndoa Yangu Furaha Yangu” Bei yake ni Shilingi elfu kumi tu na kukipata unalipia kwa M-Pesa No. 0742-381-155 au Tigo Pesa No. 0657-552-222 na kisha unatumiwa Kitabu kwa E-Mail, Whatsapp au Facebook.
No comments: